Lamborghini Huracán LP 610-4 t

14.Tuseme nini basi? Kuna udhalimu kwa Mungu? Hasha! 15. Maana amwambia Musa, Nitamrehemu yeye nimrehemuye, 16. Basi, kama ni hivyo, si katika uwezo wa yule atakaye, wala wa yule, yaani Mungu. 17. Kwa maana maandiko yasema juu ya Farao, ya kwamba, Nilikusimamisha kwa kusudi hili, ili nionyeshe nguvu zangu kwako, jina langu likatangazwe katika nchi yote. 18. Basi kama ni hivyo atakaye kumrehemu humrehemu, na atakaye kumfanya mgumu humfanya mgumu.